Meneja wa kinywaji cha Grandmalt Consolata Adam katikati na
mkurugenzi wa chuo kikuu cha Sokoine Prof
Mzanila wakimkabidhi kombe la ushindi wa jumla Capten wa Timu ya
Infomatic Ally Tambala baada ya kuibuka mabingwa wa mchezo wa mpira wa miguu kwenye
bonanza maalum la ufunguzi wa tunzo za Exel with Grand Malt mkoani Morogoro
ambapo ilishirikisha pia chuo kikuu cha Mzumbe,Kushoto ni msanii wa Hip hop Joh
Makini.
Msanii Joh Makini akitumbuiza kwenye Tamasha la Exel with
grandmalt kwenye viwanja vya Chuo kikuu cha SUA
ikiwa ni ufunguzi rasmi wa Tunzo za exel with Grandmalt Mkoani Morogoro
ambapo itashirikisha vyuo vya SUA na Mzumbe