Wananchi hao wakiwemo waTanzania walikusanyika katika viwanja vya Down Town
Washington DC siku ya Jumamosi June,2,2012 katika kuitikia wito wa kuunga mkono
wanawake ambao wanakabiliwa na ugonjwa wa saratani ya maziwa, utafiti na elimu
dhidi ya ugonjwa huo
Tanzania waki wakiwa kipata picha ya pamoja katika kuitikia wito wa kuunga
mkono wanawake ambao wanakabiliwa na ugonjwa wa saratani ya maziwa, utafiti na
elimu dhidi ya ugonjwa huo.
Tukio hili
liliaza kwa matembezi ya vikundi vya mataifa mbali mbali wanaoishi hapa nchini
marekani
Watembeaji
wengi waliohudhuria katika matimbizi hayo kutoka majimbo mbali mbali nchini
Marekani
Maradhi ya
saratani ya maziwa yanakisiwa kuwadhuru watu 25 milioni kote ulimwenguni ambapo
kama hatua haitochukuliwa inakisiwa watu milioni 10 kufa katika kipindi cha
miaka 25 ijayo.
Watembeaji
wengi waliohudhuria katika matimbizi hayo kutoka majimbo mbali mbali nchini
Marekani
Maradhi ya
saratani ya maziwa yanakisiwa kuwadhuru watu 25 milioni kote ulimwenguni ambapo
kama hatua haitochukuliwa inakisiwa watu milioni 10 kufa katika kipindi cha
miaka 25 ijayo.
Kina dada
wwakiwa katika matembezi ya kupiga vita ogonjwa wa saratani ya maziwa siku ya
Jumamosi June,2,2012 ndani ya washington D.C nchini Marekani.
Rais wa
Jumuia ya waTanzania DMV Mh. Iddi Sandaly, wakwanza kushoto, Waheeda Margaret
Gathesha, Chief wa swahilivilla Abou Shatry, Aunt Rehema, pamoja na Salma Jay
Jay pia alikuwepo katika matembezi ya kupigana na ujongwa wa saratani ya maziwa
hapa Washington DC.
Wazawa wa
kitanzania wanaoishi nchini marekani wakiwa katika matembezi ya kupiga vita
ogonjwa wa saratani ya maziwa mapema leo jumamosi June,4,2011 ndani ya
washington D.C nchini marekani.
Jamii
iliyostaarabika ni yenye kuheshimu Mawazo & Mitazamo ya wengine.
Mchango wako katika kazi yoyote ulenge kujenga jamii yenye Kujitambua,
Kujithamini na Kujiwajibisha
Warembo wa
kiTanzania wakiwa mstari wa mbele katika mpango mzima wa kutimiza mwindo wa mile
tatu
Mamia ya watu
kutoka sehemu mbali mbali waliungana kwa pamoja katika zowezi hilo la kuunga
mkono wanawake ambao wanakabiliwa na ugonjwa wa Saratani ya maziwa.
Wana nchi
wakiwa katika mwendo wa Susan G.Komen. kumaliza vita dhidi ya maradhi ya
Saratani ya Maziwa Susan G.Komen. 2012!
Kina kaka nao
pia hawajajiweka nyuma kuunga mkono Susan G.Komen. kumaliza vita dhidi ya
maradhi ya Saratani ya Maziwa Susan G.Komen. 2012! ndani ya Washington DC.
Latino Team
pia hawakujiweka nyuma kupiga vita ungonywa huo hatari unaowapa tabu kina
Mama