Mkurugenzi
wa masoko wa EABL kanda ya Uganda, Lemmy Mutahi katikati akikabidhi mfano wa
hundi kwa katibu mkuu wa CECAFA Nicholas Musonye kulia ni makamu wa Raisi wa
shirikisho la soka Uganda (FUFA)Livingstone Kyambadde.
Katibu mkuu wa Cecafa Nicholas Musonye akipokea kombe litakalokabidhiwa kwa bingwa wa mwaka huu wa michuano ya Chalenji kutoka kwa Mkurugenzi wa masoko wa EABL kanda ya Uganda Lemmy Mutahi katika hafla iliyodfanyika leo Serena Hotel, Kampala. Kulia ni Makamu wa raids wa FUFA,Livingtone Kyambadde.
Katibu Mkuu wa Cecafa Nicholas Musonye akitaniana na mmmoja ya wajumbe waanzilishi wa Cecafa Kezekia Ssegwanga Musisi kabla ya kuzinduliwa kwa michuano ya Cecafa -Tusker Cup 2012 , serena Hotel Kampala leoo.

KAMPUNI ya East Africa
Breweries (EABL) kupitia bia ya Tusker Lager imemwaga dola za
kimarekani 450,000 kwa ajili ya kudhamini michuano ya Tusker Chalenji itakayofanyika
kuanzia Novemba 24 hadi desemba 8 mwaka huu katika viwanja vya Namboole na
Mandela Kampala, Uganda.
Hafla ya kusaini mkataba
huo imefanyika leo katika hoteli ya Serena Kampala ambapo Katibu Mkuu wa
Baraza la vyma vya soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) Nicholaus Musonye
alibadilishana hati za mkataba na mkurugenzi wa Masoko wa EABL kanda ya Uganda,
Lemmy Mutahi.
Aidha, dola USD 60.000
zimetengwa kwa washindi ambapo mshindi wa kwanza atapata dola 30.000,mshindi wa
pili Dola 20.000 na wa tatu dola 10.000 huku michuano hiyo itarushwa live
na kituo cha Televisheni cha Super Sport.
Nchi zitakazoshiriki ni pamoja na Burundi, Djibouti, Ethiopia, Ethiopia, Eritrea, Kenya, Rwanda, Somalia, South Sudan, Uganda, Tanzania, Sudan na Zanzibar.
Nchi zitakazoshiriki ni pamoja na Burundi, Djibouti, Ethiopia, Ethiopia, Eritrea, Kenya, Rwanda, Somalia, South Sudan, Uganda, Tanzania, Sudan na Zanzibar.