Young Africans imewasilisha jumla ya majina ya
wachezaji 28 kwa shirikisho la soka
nchini TFF, kwa ajili ya msimu mpya wa ligi kuu nchini inayotazamiwa kuanza
mapema septemba mosi.
Katibu mkuu wa Young Africans Mwesigwa Selestine amesema
wamepeleka majina ya wachezaji wote 28 kwa ajili ya msimu mpya wa ligi kuu, na
hii ni kutokana na benchi la ufundi kuridhia kuwatumia wachezaji wote.
Aidha katika usajili huo uliowasilishwa leo, umeambatana na
usajili wa wachezaji wa timu ya vijana U-20 ambapo majina ya wachezaji mahiri
wa timu ya Taifa Saimon Msuva na Frank Domayo.
Usajili kamili kwa
timu ya wakubwa ni kama ifuatavyo:
Walinda Mlango:
Yaw Berko, Ally Mustafa 'Barthez' na Said Mohamed
Walinzi wa pembeni:
Walinzi wa kati:
Nadir Haroub 'Cannavaro', Kelvin Yondan, Mbuyu Twite,
Ibrahim Job na Ladislaus Mbogo
Viungo wa ulinzi:
Athuman Idd 'Chuji', Juma Seif Kijiko na Salum Telela
Viungo wa pembeni:
Nizar Khalfani, Shamte Ally, Idrisa Rashid na Omega Seme
Viungo washambuliaji:
Haruna Niyonzima, Rashid Gumbo na Nurdin Bakari
Washambuliaji:
Said Bhanaunzi, Hamis Kiiza 'Diego', Didier Kavambagu na
Jeryson Tegete
Kikosi cha U-20 kina jumla ya majina 22 ambao ni:
Walinda Mlango: Geofrey Nyalusi na Yusuf Abdul
Walinzi: Said Manduta, Zuberi Juma, Said Mashaka, Benson
Michael, Issa Ngao, Rashid Said
Viungo: Frank Domayo, Omary Nasry, Clever Charles, Mwinyi
Bakari, Mpenda Abdallah
Washambuliaji wa pembeni: Abdulahman Ally, Hussein Moshi,
Abdallah Salum, Rehani Kibingu
Washambuliaji: Saimon Msuva, George Banda, Notikely Masasi,
Suleiman Ussi, Kassim Jongo
NB: Frank Domayo & Saimon Msuva usajili wao umepelekwa
katika usajili wa U-20 lakini wataitumikia timu ya wakubwa
http://youngafricans.co.tz