BRAZIL MABINGWA WA MABARA, YAITANDIKA HISPANIA 3-0
byANID UPDATES-
0
HATIMAYE Brazil imefanikiwa kutwaa Kombe la Mabara baada ya kuibanjua Hispania mabao 3-0 katika mchezo wa fainali
uliopigwa kwenye Uwanja wa Jornalista Mario Filho Rio de
Janeiro, Brazil.