Tamasha la waandishi kutoka vyombo mbalimbali lilifanyika desemba 5 katika ufukwe msasani club ambapo kulikuwa na michezo mbalimbali sambamba na burudani toka kwa bendi ya msondo ngoma

mama happy Katabazi akiserebyka na kassim mbarouk

Khadija, Dina na Juma Kasesa mwandishi mwenzetu wa michezo wa tanzania Daima na Sayari

Khadija na mimi

mwenyewe nimepozi

mimi na rafiki yangu wa siku nyingi, Fred Halla

baadhi ya wanahabari wakiserebuka

wanamuziki wa msondo wakitumbuiza
Post a Comment