Watoto Said Koba (Kushoto), Jiitu Shigellah, wa kijiji cha Iyumbu Wilayani Ikungi, mkoani Singida wakicheza karata za visoda huku wakibonga lugha ya Kisukuma, kama walivyonaswa na kamera ya Blogu yetu.
KARATA ZA KISUKUMA ZINACHEZWA HIVI!
byANID UPDATES
-
0