MZIRAY
HALI ya kocha wa viungo na Saikolojia wa Simba, Syllersaid Mziray 'Mwanangu' imezidi kuwa mbaya baada ya kulazwa kakita wodi ya wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum (ICU) katika Hospitali ya Aga Khan sambamba na kuwekewa mipira maalum kwa ajili ya kumsaidia kupumua.
Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu' alithibitisha kulazwa kwa kocha huyo.
Pole sana kocha, tunamuomba mwenyezi Mungu akupe nafuu upone haraka. Ipyana
ReplyDelete