MIss Progress International, Julieth William Lugembe akiwa na watoto wenye ulemavu wa ngozi mkoani Shinyanga
Mkurugenzi wa kampuni ya One Touch Solutions, Peter Mwendapole akiwa na watoto wa wenye ulemavu wa ngozi wanaosoma na kulelewa katika shule ya Buhangija mkoani Shinyanga.