NEY WA MITEGO ASAKA SUPERSTAR WA KUCHEZA MUVI YA X KWA DAU LA MILIONI 20, MPO?


MSANII wa muziki wa Bongo Fleva akienda kwa jina la Ney wa Mitego anamsaka Superstar wa kibongo kwa ajili ya kucheza movie ya X kwa dau la milioni 20.

Amesema, movie hiyo ambayo inaendelea na matayarisho ni moja klati ya project zake kwa mwaka 2011.

Project nyingine ya Ney wa Mitego kwa mwaka huu ni kuingiza sokoni albamu yake ya pili mwezi ujao itakayokwenda kwa jina la LAV DAV TYM!

Post a Comment

Previous Post Next Post