SARE YAIKOSESHA SIMBA KWENDA BRAZIL

RAIS WA RBP OIL & INDUSTRIAL TECHNOLOGY TZ LIMITED RAHMA AL KHAROOS AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KATIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM.



SARE ya bao 1-1 iliyoipata Simba jana dhidi ya Atletico Paranaense ya Brazil imeikosesha ofa ya kwenda Brazil kurudiana nao iliyotolewa na Rais wa RBP Oil&Industrial Technology Rahma Al Kharoos iwapo wangeshinda.
Atletico inayoshika nafasi ya tano ya ligi kuu nchini Brazil ilikuja nchini jkwa ziara ya kimichezo.

Post a Comment

Previous Post Next Post