Home SIMBA KUANZA KAMPENI MAPINDUZI CUP USIKU WA LEO Dina Zubeiry January 03, 2011 0 Comments Facebook Twitter KIKOSI CHA SIMBAMABINGWA wa Ligi Kuu Bara timu ya Soka ya Simba leo usiku watashuka katika dimba la Aman Visiwani Zanzibar katika mechi yao ya kwanza ya kuwania kombe la Mapinduzi kwa kucheza na Jamhuri ya Pemba. Facebook Twitter
Post a Comment