KIKOSI CHA SIMBA
WEKUNDU wa Msimbazi timu ya soka ya Simba imeanza michuano ya kombe la Mapinduzi inayoendelea Visiwani Zanzibar kwa kutoka Sare ya bao 1-1 dhidi ya Jamhuri ya Pemba.
Bao la Simba lilifungwa na Hillary Echessa katika mechi hiyo iliyopigwa jana usiku kwenye uwanja wa Aman Visiwani humo