Home PIGO TASNIA YA HABARI TANZANIA byDina Zubeiry -April 02, 2011 0 MAREHEMU ADAM LUSEKELO TASNIA ya habari nchini imepata pigo kubwa baada ya kuondokewa na mwandishi mahiri mkongwe Adam Lusekelo.Lusekelo alikumbwa na umauti huo usiku wa kuamkia jana baada ya kuugua kwa muda mrefu.Bwana ametoa, bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.Amen Facebook Twitter