SUNZU SUNZU SUNZU, ATUA MSIMBAZI

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Zambia Felix Sunzu ametua rasmi nchini kwa ajili ya kusaini mkataba wa kuichezea Simbva katika msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, pamoja na michuano ya kimataifa

Post a Comment

Previous Post Next Post