Home SIMBA KUJINOA KWA AZAM KESHO byANID UPDATES -October 09, 2011 0 WEKUNDU wa Msimbazi timu ya soka ya Simba kesho itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Azam Fc, mchezo ambao ni sehemu yake ya maandalizi ya kujiandaa na mechi zake za ligi kuu soka Tanzania Bara. Facebook Twitter