KOCHA wa Yanga, Kostadin Papic akipokea kitita cha shilingi mil.10 kutoka kwa mjumbe wa kamati ya utendaji na makamu mwenyekiti wa kamati ya ufundi ya Yanga, Ali Mayay zilizotolewa na aliyekuwa makamu mwenyekiti wa klabu hiyo, Davies Mosha ambaye aliahidi kuwatuza wachezaji wa timu hiyo kutokana na kuwafunga mahasimu wao, Simba bao 1-0 katika mchezo wa ligi kuu soka Tanza Bara jumapili iliyopita.
BAADA YA KUMUANGUSHA MNYAMA, DAVIES MOSHA AWATUZA MIL.10 WACHEZAJI YANGA
byANID UPDATES
-
0