NMB YAMWAGA VIFAA STARS

MKUU wa masoko na mawasiliano wa benki ya NMB, Iman Kajura (kushoto)akikabidhi sehemu ya vifaa vya michezo kwa timu ya Taifa 'Taifa Stars' kwa katimu mkuu wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF), Angetile Osiah, kwa ajili ya mechi yao ya kuwania kucheza komve la Dunia dhidi ya Chad itakayopigwa ugenini Novemba 11, kulia ni ofisa habari wa TFF, Boniface Wambura.
Vifaa hiovyo vyenye thamani ya shilingi milioni tisa ni pamoja na jezi, viatu, mabegi, vizuia ugoko n.k.

Post a Comment

Previous Post Next Post