Home WALLAHI WATATUTAMBUA SIE AKINA HAWAA! ANID UPDATES December 08, 2011 0 Comments Facebook Twitter Meneja Mawasiliano wa SBL, Teddy Mapunda aiwakabidhi jezi wachezaji wa timu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, tayari kwa mchezo wa kesho wa kusherehekea miaka 50 ya Uhuru, dhidi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Facebook Twitter
Post a Comment