Bondia Furaha Nganda akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika
jumamosi feb 25 na bondia Monica Mwakasanga kushoto kulia ni Katibu wa
Shilikisho la ngumi za Kulipwa Tanzania PST Anton Luta
Bondia Maneno Osward akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika
katika ukumbi Wa PTA sabasaba jumamosi ya Feb 25 (kushoto) ni mpinzani wake
Rashidi Matumla kulia ni katibu wa PST, aNTON Luta
Bondia Shabani Kaineko akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Antoni
Mwakapalila utakaofanyika katika ukumbi wa PTA sabasaba kesho kulia ni Katibu wa
Shilikisho la ngumi za Kulipwa Tanzania PST Anton Luta
Shilikisho la ngumi za Kulipwa Tanzania PST Anton Luta
Mabondia Antoni Mwakapalila akitunishiana misuri na bondia Shabani Kaineko baada
ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa kirafiki utakaofanyika Kesho
katika ukumbi wa PTA Sabasaba(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)