Katibu wa Chama cha mchezo wa ngumi Temeke Ali Mchumila
akimkabidhi flana ya wadhamini wa michuano ya Wilaya ya Temeke CAW BEll Makamu
menyekiti wa Mpira wa Kikapu Nchini , Phares Magesa.
Bondia Haridi Kibavu (kushoto) akimrushia konde Mahafudhi
Swai wakati wa mpambano wao ulioandaliwa na Chama cha mchezo wa Ngumi Temeke, Dar es salaam jana, Kibavu
aliashinda Kwa Pointi.
Kocha wa Mchezo wa Kimataifa wa Masumbwi Nchini Rajabu
Mhamila Super D kushoto akimsindikoza Bondia Ibrahimu Class wa Amana kwa ajili
ya kucheza Jana
Mabondia Hamadi Omari na Thomas Son wakioneshana ufundi wa
kutupiana masumbwi wakati wa mashindano yaliyoandaliwa na chama cha mchezo wa
Ngumi TEMEKE picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com