MFALME wa Rhymes nchini Seleman Msindi 'Afande Sele' ameweka wazi mpango wake wa kugombea ubunge katika uchaguzi wa mwaka 2015.
Akizingumza hivi karibuni Sele alisema ameamua kugombea ili kuweza kuwatetea wanyonge ambao wamekosa watetezi bungeni.
Hata hivyo Msindi ambaye amekuwa akiimba nyimbo zenye 'mguso' kwa jamii zikiwemo 'Mtazamo' aliowashirikisha Solothang na Prof.J,Karata Dume na nyinginezo hakuweka wazi kuwa atasimama kwa tiketi ya chama gani.
Hongera kaka, jitahidi utashinda na mungu akuongoze katika hilo.
ReplyDeleteHongera kwa kutangaza nia, lakini hizo nywele itakubidi unyoe, yale mambo yetu yale uache ili kipindi cha kampeni kitakapoanza, upunguze maswali yasiyokuwa na msingi.... Ubunge siyo show za majukwaani za kukonga nyoyo za mashabiki,, usiige ndugu yangu, jitahidi uwe na sera mbadala zitakazokubalika kwa wanyonge na wasio wanyonge ili uweze kuwing political majority.... My advise, msuba ni mzuri kwa stimu lakini hauna staha,....
ReplyDeleteNI WAZO ZURI KUJIAMINI NBONA MR TWO AMEWEZA
ReplyDeleteHongera, hiyo imekaa vyema je! Kwa tiket ya chama gani?
ReplyDeleteNENDA CHADEMA KAMA UNATAKA KUTETEA WANYONGE SI CCM MAGAMBA
ReplyDeletemungu amtangulie
ReplyDeletekagombee chadema kama mtetezi wa wanyoge.pia utapita kwa urahisi na kuzoa kura za vijan
ReplyDelete