MWENYEKITI
wa Chama cha Soka mkoa Pwani (COREFA),
Hassan Othman ‘Hasanoo’ (Pichani)atakuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Ligi ya
Taifa ngazi ya Mkoa huo itakayoanza kutimua vumbi Machi 13 katika vituo
vitatu tofauti vya Bagamoyo, Mkuranga A na B pamoja na Mafia.
Msemaji wa COREFA Masau Bwire, amesema Hasanoo
atafanya ufunguzi huo katika kituo Bagamoyo