Dar es Salaam, May 4, 2012:
Mashindano
ya urembo ya Redds Miss Tanzania yameanza kushika kasi baada ya hatua ya awali,
ngazi ya vitongoji maeneo mbalimbali kufikia fainali zao kuanzia mwisho wa wiki
hii.
Akithibitisha
kufanyika kwa fainali hizo za Redds Miss Tanzania, ngazi ya vitongoji Meneja wa
kinywaji cha Redds Bi Victoria Kimaro amesema; ni kweli mchakato umepamba moto
hivi sasa, kwani vitongoji vingi vitakuwa vikifanya fainali zake kuanzia mwisho
wa wiki hii. Kama wadhamini wakuu wa Redds Miss Tanzania tayari tumekwisha fanya
mawasiliano na vitongoji vyote husika ili kuhakikisha kuwa kila kitu kinakwenda
kama ilivyopangwa. Tuna hakika mashindano ya Redds Miss Tanzania mwaka huu
yatakuwa na msisimko wa aina yake, maana waandaaji wamefanya kazi nzuri ya
kupata warembo wenye sifa na wanaokidhi vigezo.
Akiyataja
maeneo yanayotarajiwa kufanya fainali zake mwishoni mwa wiki na siku chache
zijazo, Afisa habari wa kamati ya Miss Tanzania Bw Hidan Ricco amesema;
vitongoji hivyo na tarehe zao ni kama ifuatavyo;
NGAZI YA
SHINDANO
|
SHINDANO
|
TAREHE
|
UKUMBI
|
WILAYA
|
REDDS Miss MBEYA
MUNICIPAL
|
4-May-12
|
REHEMA CITY
|
ELIMU YA
JUU
|
REDDS Miss Ustawi wa
Jamii
|
4-May-12
|
MAISHA CLUB
|
WILAYA
|
REDDS Miss MTWARA
MUNICIPAL
|
5-May-12
|
MAKONDE BEACH
CLUB
|
DSM CENTER
|
REDDS Miss
UKONGA
|
5-May-12
|
WENGE GARDEN
HALL
|
WILAYA
|
REDDS Miss ARUSHA CITY CENTRE
|
5-May-12
|
NAURA
SPRING
|
WILAYA
|
REDDS Miss
KAHAMA
|
5-May-12
|
MASIMBO PICNIC
CENTRE
|
WILAYA
|
REDDS Miss KILOMBERO
|
5-May-12
|
JAMOS SOCIAL
CENTRE
|
WILAYA
|
REDDS Miss MBEYA
Vijijini
|
6-May-12
|
ROYAL
TUGIMBE
|
ELIMU YA
JUU
|
REDDS Miss UNIVERSITY OF
DODOMA (UDOM)
|
11-May-12
|
KILIMANI
HALL
|
WILAYA
|
REDDS Miss NJIRO –
ARUSHA
|
18-May-12
|
TRIPPLE A
COMPLEX
|
ELIMU YA
JUU
|
REDDS Miss Higher Learning -
MOROGORO
|
18-May-12
|
MBWALO
UMWEMA
|
WILAYA
|
REDDS Miss
MONDULI
|
19-May-12
|
|
DSM CENTER
|
REDDS Miss
KURASINI
|
25-May-12
|
EQUATOR
GRILL
|