Watanzana wameombwa kujitokeza kwa wingi katika kuwashingilia wanamichezo watanzania wanaoshiriki
katika michezo ya Olympic huko London, wito huo umetolewa na bendi maarufu ya Ngoma Africa aka FFU,
yenye makao yake Ujerumani.
Bendi ya Ngoma Africa inawaombea mafanikio na ushindi wanamichezo wa Tanzania,
Tuwaomba watanzana na marafiki wa Tanzania pamoja taha sisi mbali mbali zilizopo Uingereza na ughaibuni
kujitokeza kwa wingi na kuzipeperusha bendera za Tanzania kwa kuwashingilia wanamichezo wetu,kwa shangwe,
shangwe na mayoe ! Tanzania ! Tanzania! Tanzania! oyeeeeeeeeeee!
Mungu wabariki wanamichezo wetu! www.ngoma-africa.com
Mungu Ibaraiki Tanzania !
KAMANDA MKUU WA FFU RAS MAKUNJA ,NAKUITIKIA WITO WAKO MIMI NA FAMILIA YANGU TUPO LONDON TUTUWAPO PALE VIWANJANI
ReplyDelete