BREAKING NEWS!!!!!KOCHA MKUU WA YANGA PAPIC AJITOA RASMI



KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Yanga Mserbia Kostadin Papic ‘Clinton’ ametangaza kujitoa rasmi kuifundisha timu hiyo, imefahamika.
Hatua hiyo inafuatia kutambulishwa rasmi kwa wachezaji kwa kocha msaidizi wa timu hiyo Fred Felix Minziro ambapo Papic amekuwa akipinga ujio wake.
Akithibitisha taarifa hizo, Mwenyekiti wa Yanga Lloyd Nchunga alisema kwamba amepokea taarifa za kocha huyo na uongozi unaheshimu maamuzi yake.

Post a Comment

Previous Post Next Post