WAWAKILISHI wa Tanzania katika ligi ya Mabingwa Simba wanaondoka kesho asubuhi kwenda Comoro tayari kwa mechi yao ya awali dhidi ya Elan de Mitsoudje ya huko.
Wachezaji watakaokwea pipa ni pamoja na JUMA KASEJA, ALI MUSTAFA 'BARTHEZ', SALUM KANONI, RAMADHAN HARUNA, JUMA JABU, JUMA NYOSO, MESHACK ABEL, KELVIN YONDAN, JERRY SANTO,ABDULGHALIM HAMOUD, MOHAMED BANKA, NICO NYAGAWA, HILLARY ECHESSA, AMRI KIEMBA, RASHID GUMBO, PATRICK OCHAN, EMMANUEL OKWI, MUSA MGOSI, SHIJA MKINA, ALI AHMED SHIBOLI NA MBWANA SAMATHA.