KIINGILIO cha juu cha mechi baina ya Atletico Paranaense ya Brazil kimepangwa kuwa sh.200, kwa jukwaa la VIP A, huku VIP B watalipa sh.100,000, VIP C sh.50,000 na watakaokaa viti vya rangi ya chungwa watalipa sh. 10,000.
Timu hiyo kesho itacheza na Yanga katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kabla ya kucheza na Simba jumatano katika uwanja huo.Mechi zote zitapigwa saa kumi na moja jioni.
twashukuru kwa habari hii Mamapipiro
ReplyDelete