MSHAMBULIAJI wa Yanga Davie Mwape ameifungia timu yake mabao 3 kati ya 6 iliyoifunga AFC ya Arusha katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodaco iliyopogwa kwenye uwanja wa Taifa jioni ya leo.
Mabao mengine ya Yanga yalifungwa na Iddi Mbaga aliyefunga mawili na Shadrack Nsajigwa 'Fuso' aliyefunga moja.
Wametangulia na baskeli ya miti hao Dina
ReplyDelete