MZUNGUKO wa pili wa ligi kuu ya Vodacom unatarajiwa kuanza jioni ya leo kwa viwanja tofauti nchini na ratiba ya leo ni kama ifuatavyo:
AZAM FC VS KAGERA SUGAR-MKWAKWANI, TANGA
TOTO AFRICAN VS POLISI DODOMA- CCM KIRUMBA, MWANZA
MAJIMAJI VS JKT RUVU STARS-MAJIMAJI, RUVUMA
AFC VS AFRICAN LYON-SHEIKH AMRI ABEID, ARUSHA.