MABINGWA wa ligi kuu bara timu ya soka ya Simba wanaendelea na mazoezi yao ya kujiandaa na michuano ya kimataifa pamoja na ligi kwa kufanya mazoezi asubuhi katika uwanja wa Uhuru na jiono Kawe katika viwanja vya Tanganyika Pakers.
Katika maandalizi yao Simba keshokutwa itacheza na Atletico Paranaense ya Brazil kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.