Home JOSEPH OWINO KUTUA DAR JUMAMOSI Dina Zubeiry February 02, 2011 0 Comments Facebook Twitter BEKI wa kimataifa wa timu ya Simba Josph Owino anatarajia kuwasili nchini jumamosi ijayo akitokea kwao nchini Uganda.Owino ambaye alikuwa anakabiliwa na maumivu ya goti ameshapona na ameruhusiwa kuanza mazoezi na daktari wake. Facebook Twitter
Post a Comment