MABINGWA wa ligi Kuu Bara jioni ya leo wameipa kipigo kitakatifu African Lyon kwa kuifunga mabao 3-0 katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom iliyopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam.

1 Comments

Post a Comment

Previous Post Next Post