LEO ni siku yangu ya kuzaliwa na ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kunipa pumzi na kuniongoza katika maisha yangu. Asanteni marafiki zangu wote ambao mmekuwa sehemu ya maisha yangu.

1 Comments

  1. Kennedy Mutenyo-UgandaJune 25, 2011 at 10:32 PM

    Rafiki wako nchini Uganda wanakutakiya maisha marefu saana. Happy Birthday

    ReplyDelete

Post a Comment

Previous Post Next Post