Home YANGA YAIKWANYUA AZAM FC 2-1 Dina Zubeiry March 30, 2011 0 Comments Facebook Twitter YANGA imeikwanyua Azama Fc kwa mabao 2-1 katika mechi ya ligi kuu Bara iliyopigwa leo kwenye Uwanja wa Uhuru.Mabao ya Yanga yalifungwa na Jerry Tegete, huku lile la Azam likifungwa na John Bocco 'Adebayor'. Facebook Twitter
Post a Comment