Home MASKINI YANGA, YALEWESHWA SUKARI NA MTIBWA SUGAR Dina Zubeiry February 02, 2011 1 Comments Facebook Twitter VINARA wa ligi kuu ya Vodacom timu ya Yanga,jioni ya leo imekubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Mitibwa Sugar ya Morogoro katika mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa Uhuru, dar es Salaam. Facebook Twitter
Ndio matokeo ya migogoro
ReplyDeletePost a Comment